BUNGE LAMKABIDHI TUZO MAALUM RAIS DKT. SAMIA

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, akipokea Tuzo Maalumu ya Heshima kutoka kwa Bunge la Tanzania ikikabidhiwa na Spika wa Bunge Dkt, Tulia Ackson ikiwa ni Tuzo ya kuthamini kazi Kubwa na Nzuri aliyofanya katika kuleta Maendeleo Nchini.Hafla ya kukabidhi Tuzo hiyo imefanyika Viwanja vya Bunge la Tanzania Mkoani Dodoma leo.


 


































Comments

Popular posts from this blog

KADA MGEJA AHUDHURIA MAZIKO YA MAMA MZAZI WA MWANDISHI MWANDAMIZI WA HABARI KAHAMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?