MKUTANO WA 18 WA BUNGE UMEANZA LEO JIJINI DODOMA
Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson, akiingia Bungeni kwa ajili ya kuanza vikao vya bunge leo jijini Dodoma
Brasbendi ya Jeshi la Polisi ikipiga wimbo wa Taifa na wa Afrika Mashariki kuashiria kuanza kwa vikao vya bunge
Naibu Waziri TAMISEMI, Zainabu Katimba, akitoka kujibu maswali ya wabunge

Comments
Post a Comment