MASHABIKI YANGA NA SIMBA KUONESHANA UBABE BUNGE BONANZA

 

Mashabiki wa Yanga wakiwa wamefunika kwa bendera mashabiki wa Simba wakati wa mkutano wa kutangaza Bonanza la mashabiki wa timu hizo kwenye ukumbi wa Bunge wa Msekwa Dodoma. Bonanza hilo  lililodhaminiwa na Benki ya Azania linafanyika  kwemye viwanja vya Shule ya John Merlin Miyuji, Dodoma.




mashabiki wa Yanga wakionesha 5 watakazowafunga watani zao Simba



wakiwa katika picha ya pamoja kuonesha umoja wa mashabiki hao wa Simba na Yanga.

Comments

Popular posts from this blog

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

KADA MGEJA AHUDHURIA MAZIKO YA MAMA MZAZI WA MWANDISHI MWANDAMIZI WA HABARI KAHAMA