WABUNGE WATEMBELEA VIWANJA VYA BUNGE JIJINI DODOMA KUJIONEA WIKI YA MAONYESHO YA NISHATI 2024.



Wafanyakazi wa EWURA, wakiwafunga skafu wabunge waliotembelea banda lao na kujionea huduma mbalimbali zitolewazo hapo. Banda hilo lio katika maonyesho ya wiki ya Nishati 2024.
Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga, akipata maelezo jinsi Gari linalotumia gesi asilia ambalo lipo katika maonyesho hayo.
Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga (kulia), akipata maelezo toka kwa wafanakazi wa Wakala wa Nishati Vijijini REA.

Baadhi ya wabunge wakipata maelezo kuhusu majiko ya kisasa yenye kutumia nishati bora na za kisasa katika banda la REA.
Mbunge Aidha Kenani (kulia), akisikiliza maelezo kutoka kwa Wakala wa Uagizaji Mafuta Kwa Pamoja (PURA)

Mbunge wa Bagamoyo (CCM) Muharami Mkenge, akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa TANESCO mkoa wa Pwani waliopo katika maonyesho ya wiki

Mbunge wa Jimbo la Kwimba mkoani Mwanza, Shanif Mansoor, akipata maelezo katika maonyesho hayo






Meneja Mawasiliano wa EWURA, Titus Kaguo, akimweleza jambo naibu waziri Kapinga, alipokuwa katika banda lake.
Naibu Waziri kapinga, akizungumza na wanahabari baada ya kutembelea mabanda ya  Taasisi za Wizara hiyo




 

Comments

Popular posts from this blog

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.