TATIZO LA UMEME KUKATIKA NCHINI KUWA HISTORIA ----KATIBU MKUU MRAMBA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba,(kushoto), akizungumza na Mameneja  wa Tanesco wa mikoa waliopo katika wiki ya Maonyesho ya Wizara hiyo yanayofanyika viwanja vya bunge jijini Dodoma. Maonyesho hayo yanamalizka kesho ambapo yamehudhuliwa na wabunge pamoja na wafanyakazi wa bunge pamoja na wageni mbalimbali wanaotembelea bunge hilo.


Katibu Mkuu Mramba, akianagalia majiko ya kisasa yenye kutumia nishati ya kutiunza mazingira yaliyopo katika maonyesho hayo

Mramba, akizungumza na wanahabari, akiwaeleza wananchi kuwa kukatika katika kwa umeme  muda si mrefu itakuwa historia  kwani Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameliwezesha shirikaa la umeme kuweza kumaliza matatizo yaliyokuwa yakilikabili na mitambo ya umeme kukamilika. amebainisha kwamba manyesho hayo yamewezamkuhudhuliwa na wabunge  na kuelezwa jinsi huduma zinazotolewa majimbo kwao. aidha hata wafanyakazi wa bunge na wageni mbalimbali waliweza kuhudumiwa   na kuondoka katika viwanja hivyo wakiwa wamelidhika  na maelezo ya watalamu hao.



Katibu Mkuu Mramba akiwaonyesha wanahabari Taasisi mblimbali za Wizara hiyo ambazo zipo tayari kumaliza tatizo a umeme nchini ambazo zinafanya kazi usiku na mchna  kumaliza matatizo.

Katibu Mkuu Mramba akiwasikiliza maofisa wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Nchini (TPDC) baada ya kutembelea banda lao

 

Comments

Popular posts from this blog

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.