PPRA NA MAFANIKIO YAKE KWA MIAKA MITATU YA RAIS DKT. SAMIA
Mkurugenzi wa Kujenga uwezo wa Mamlaka ya Udhibiti wa Manunuzi ya Umma (PPRA), Amin Mcharo.
Wanahabari wakisikiliza kwa makini
Mkurugenzi Msaikdizi wa Idara ya habari MAELEZO, Zamaradi Kawawa, akimkalibisha mkurugenzi huyo kuzungumza na wanahabari
Mkurugenzi huyo akizungumza na wanahabari katika ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO jijini Dodoma, akiwamkilisha Mkurugenzi Mkuu wa Malaka hiyo kuzungumzia mafanikio makubwa yaliyopatikana na mamlaka hiyo kwa muda wa miaka mitatu ya uongozi wa Rais nguri Mwanamama Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Mazungumzo hayo yaliambatana na historia ya uundwaji wa Mamlaka hiyo, pia katika kuelekea maadhimisho ya miaka 60 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar Aprili 26, 2024. Ambapo muungano huo ulifanyika 26 Aprili 1964.Wanzilishi wake Julius Nyerere na Abeid Amani Karume.
Kama kawaida katika mkutano huo wanahabari walikuwepo ambapo waliweza kumuliza maswali yaliyohusu mamlaka hiyo tangu kuundwa kwake mafanikio na matatizo yake.
Wanahabari wakisikiliza kwa makini
Mkurugenzi Msaikdizi wa Idara ya habari MAELEZO, Zamaradi Kawawa, akimkalibisha mkurugenzi huyo kuzungumza na wanahabari
Comments
Post a Comment