PICHA ZA BUNGENI LEO

Mbunge wa Viti Maalu Sophia Mwakagenda, akichangia bajeti ya ofisi ya Waziri Mkuu bungeni leo.
Maofisa wa Benki ya NMB, wakiwasili bungeni leo kwa ajili ya kufutulisha wabunge.
Mbunge wa Nkasi Kaskazini, Aida Kenani, akiwasili bungeni leo.
Mbunge wa Tabora kaskazini Almasi Maige, akiwasili bungeni leo.
Mbunge wa Temeke, Dorothy Kilave, akiwasili bungeni leo
 

Comments

Popular posts from this blog

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.