MAKAMU WA RAIS DKT .MPANGO KUONGOZA MAOMBI NA DUA LA KUOMBEA TAIFA VIWANJA VYA JAMHURI ,JIJINI DODOMA KESHO

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira). Dkt., Selemani Jafo, akizungumza na waandishi wa habari baada ya kuwapokea viongozi wa dini walipowasili katika stendi ya SGR ya Mkonze jijini dodoma kwa ajili ya maombi, na Dua la kuombea Taifa kesho,. Viongozi hao walitoka Dar es Salaam saa 9 wameweza kutumia muda wa masaa matatu  tu. Baada ya kuwapokea waliweza kushusha maombi hapo na badae kuruhusiwa kwenda kupumzika ili kesho asubuhi kuamkia maombi. Waziri Jafo alimpongeza Rais DKT. Samia Suliuhu Hassan kwa kuweza kuchukua maamuzi magumu ya kuendeleza mradi mkubwa huo kutoka katika serikali ya awamu ya tano na sasa upo njia kukamilika, alisema hakika ni Rais wa mfano katika Bara hili la Afrika na dunia kwa ujumla. Kushoro kwake Mwenyetai ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhandisi Cyprian Luhemeja.



Treni ya Mwendo Kasi Kwa mara ya kwanza ikiwasili katika mkoa wa Dodoma  leo hii ikiwa na ugeni mzito wa vionfgozi wa Dini wa madhehebu mbalimbali nchini




Waziroi Dkt. Jafo, na viongozi wa mkoa wa Dodoma wakisubili kuwapokea viongozi wa dini
Viongozi wakishuka baada ya kuwasili








Waziri Dkt. Jafo, akimpokea Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhandisi Cyprian Luhemeja



Waziri Dkt. Jafo, akipokea Mkurugenzi  wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) , Masanja Kadogosa

Waziri Dkt. Jafo, Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Senyamule  na Mkuu wa Polisi mkoa wa Dodoma, RPC Malya Wakitoka kuwapokea viongozi wa Dini

Baadhi ya wakazi wa mkonze karibu na kituo hicho wakiwapokea viongozi wa dini
Mkuu wa mkoa wa Dodoma, akiwakalibisha viongozi wa dini


Mhandisi Luhemeja, akitambulishwa
Mkuu wa Msafara wa viongozi wa dini akitambulishwa

Mkurugenzi wa Shirika la Reli Masanja Kadogosa, akizungumza na wanahabari baada ya kuwasili

 

Comments

Popular posts from this blog

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.