WANAOTUKANA VIONGOZI KWENYE MITANDAO ALOBAINI ZAO ZINAHESABIKA

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni , akizungumza na wanahabari katika kuadhimisha miaka 60 ya Muungano wa Tanzania Bara na Tanzania Visiwani. Mazungumzo hayo yalifanyika jijini Dodoma leo . 

Waziri huyo alibainisha kwamba  Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) hadi sasa imefanikiwa kusajili watu 24,495,804  na kutoa namba za utambulisho kwa watu 20,832,225 na kuzalisha vitambulisho 20,286,420. 

Aidha kuhusu Nyumba za Askari alisema Serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ipo mbioni kumaliza tatizo hilo na askari itakuwa historia kuishi katika nyumba za raia  kupnga huko uswahilini watakuwa wakikaa wote kwenye nyumba zao ambazo zinaendelea kujengwa  kote nchini, kuhsu wanaotukana viongozi kwenye mitandao Waziri masauni alisema wasije kuilaumu Serikali itakapoanza kuwakamata kwani wengine wanafanya hivyo kwa mkumbo kuwakamata kwao ni rahisi









Wanahabari wakiwajibika katikammkutano huo

 

Comments

Popular posts from this blog

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.