HAKUNA KUFUNGA VIWANDA VYA CHAI -------BASHE

Waziri wa Kilimo Hussein Bashe, akiwasili katika ukumbi wa hoteli ya Molena jijini Dodoma kwa ajili ya mkutano wa Bodi ya Chai
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Gerald Mweli, akizungumza jana katika mkutano wa bodi ya chai uliofanyika jijini Dodoma kabla ya kumkalibisha  Waziri wa Kilimo Hussein Bashe.
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe, akimpatia zawadi mdau wa zao la Chai baada ya kuufungua mkutano wao.
Naibu waziri wa uchukuzi David Kihenzile, akizungumza katika mkutano wa wadau wa  zao la Chai waliokutana katika mkutano wao wa mwaka jijini Dodoma
Mbunge wa Viti Maalum , Sphia Mwakagenda, akiitahadhalisha Wizara ya kilimo kuhusu wawekezaji ambao wamekuwa wakiwayumbisha wananchi kwa kukopa mazao yao na kutishia kufunga kiwanda.
 Mbunge wa Jimbo la Lupembe, Edwin Swale, akichangia katika mkutano wawadau wa zao la Chai waliokutana jijni Dodoma juzi.
Washiriki wa mkutano  huo wakimsikiliza Waziri wa Kilimo Hussein Bashe alipoku akifungua mkutano huo.
Baadhi ya wakuu wa wilaya wakiwa katika mkutano huo
MKurugenzi Mkuu wa Bodi ya Chai, Mary Kipeja, akisoma hotuba hake

Waziri wa Kilimo Hussein Bashe, akifungua mkutano huo
Mkuu  wa Mkoa wa Iringa Fatma Mwasa, akiwa katika mkutano huo
Mbunge  Mwakibete akichangia mawazo yake katika mkutano huo
MbungeDeo Mwanyika, akichangia mawazo yake katika mkutano huo

Wabunge wakipiga picha ya pamoja na waziri

Bashe,akisindikizwa baada ya kufungua mkutano huo
 

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.