VIONGOZI WA JUMUIYA YA MARIDHIANO MKOA WA DODOMA YAHAMASISHA KUFANYA USAFI

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT), mkoa wa Dodoma, Profesa. Emmanuel Shija, akihutubia wakazi wa mtaa wa Chinangali Baada ya kumaliza kufanya usafi  katika makaburi yaliyopo kando kando mwa shule ya Chinangali, usafi huo uliambatana na utoaji wa damu katika Zahanati ya Chamwino  .Wengine ni viongozi wa wilaya na mkoa huo.

Mtendaji wa mtaa huo akihutubia wananchi
Wakazi hao wakifanya usafi











Mkuu wa idara ya Mazingira Wilaya ya dodoma, akizungumza
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa CCM Wilaya ya Dodoma, akizungumza
Katibu wa Jumuiya ya Maridhiano Mkoa wa Dodoma ,akizungumza

Zahanati ya Chamwino ambapo alifika na kutoa damu kwa wahitaji
Wananchi hao wakitoa damu



Mganga wa zamu wa Zahanati hiyo Perpetua Kasase, akizungumza na viongozi waliofika katika zahanati hiyo

 

Comments

Popular posts from this blog

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.