Rais. Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Waziri Mkuu wa Ethiopia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri Mkuu wa Ethiopia Mhe. Abiy Ahmed Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 18 Februari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu wa Ethiopia Mhe. Abiy Ahmed Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 18 Februari, 2024.

 

Comments

Popular posts from this blog

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.