HATIMAYE MAGANGA NA WENZAKE WAACHIWA KWA DHAMANA

 

Baadhi ya walimu na ndugu na jamaa wakiwa katika kituo cha kati jijini Dodoma walipofika kumwekea dhamana Katibu Mkuu wa CWT Japhet Maganga na wenzake 9 waliowekwa ndani kwa amri ya Rais wa Chama hicho Leah Ulaya. Waliachiwa saa 12 jioni bada ya kukaa  humu kwa muda wa siku 4.kitu ambacho wakili wa Chama hicho Reonard Haule amesema ni siasa imeingizwa katika swala hilo kitu ambacho ni hatari kubwa kwa vyama vya wafanyakazi nchini kuingiliwa na watendaji waSerikali.



Wakili Msomi wa Chama hicho Reonard Haule, akizungumza na wanahabari kabla ya kuachiwa wateja wake

Comments

Popular posts from this blog

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.