WIKI YA SHERIA JIJINI DODOMA NJONI BRELA MPATE ELIMU YA UANZISHAJI WA MAKAMPUNI

Afisa Leseni wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni mkoa wa Dodoma Winifrida Gaundence John akiwafafanulia jaambo wanahabari kuhusu shughuli zinazofanywa na wakala hao, mazungumzo hayo yalifanyika leo katika viwanja vya Nyerere Square  kwenye maonyesho ya wiki ya Sheria inayoendelea. Afisa huyo amewaomba wananchi wa mkoa huo kufika katika banda lao kupata ufafanuzi wa uanzishaji wa makampuni  na upataji wa leseni bila konakona.


Winifrida akimhudumia mteja aliyefika katika banda la wakala hao

Naibu Msajili wa Mmahakama nchini Hawa Mgaluka, akiwafafanulia jambo wajumbe wa Tume ya uchaguzi nchini waliotembelea banda la Mahakama kuu lililopo katika maonyesho ya Wiki ya Shdria nchini katika viwanja vya Nyerere Square
Mjumbe wa Tume hiyo Balozi Ramadhani Mapuli, akiuliza ufafanuzi kwa Naibu msajili

Mratibu wa Chama cha Majaji na Mahakimu mkoani Dodoma Jamila Mkabarah akiwafafanulia jambo wajumbe wa tume  hiyo baada ya kufika katika banda hilo

 

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.