SPIKA DKT.TULIA AKSON AWATAMBULISHA VIONGOZI WA YANGA NA SIMBA BUNGENI LEO

Rais wa Yanga Eng. Hersi Said, akitambulishwa bungeni na Spika leo. Rais huyo alikuwa ameelikwa katika Bonanza la Timu za yanga na Simba za Wabunge na Stafu wa bunge hilo na Yanga kuibuka kidedea Bonanza hilo lilifanyika Jumamos katika uwanja wa Jamhuri

Msemaji wa Yanga Alli Kamwe akitambulishwa



Afisa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba Imani Kajula, akitambulishwa bungeni
Msemaji wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally,akitambulishwa bungeni.

Mbunge wa Knondoni Abbas Tarimba akizungumza na viongozi hao.





 

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.