VIKUNDI 8 VYANUFAIKA NA MFUKO WA JIMBO SONGEA

Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amekabidhi mashine nane za kutotolesha vifaranga kwa vikundi nane vya jimbo hilo.

Mhe. Ndumbaro amekabidhi mashine hizo Desemba 22, 2023 akiambatana na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Songea Mjini Ndg. Mwinyi Msolomi Pamoja na viongozi wengine wa chama hicho.

Mashine hizo zimetolewa kupitia fedha za mfuko wa jimbo kwa lengo la kuwainua wananchi waliojumuika kupitia vikundi  vilivyosajliwa kisheria.









 

Comments

Popular posts from this blog

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.