Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ikulu Jijini Dar es salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichokutana tarehe 29 Novemba, 2023 Ikulu Jijini Dar es salaam, Awali kikao hicho kilitanguliwa na kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichokutana tarehe 29 Novemba, 2023 Ikulu Jijini Dar es salaam, Awali kikao hicho kilitanguliwa na  kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa.

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.