KINANA USO KWA USO NA MAKONDA

 

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akijadiliana jambo na Katibu wa NEC Siasa, Uenezi, Itikadi na Mafunzo Ndugu Paul Makonda mara baada ya kufunga Mafunzo ya wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Wajumbe Wamefundishwa Mada Tofauti zinazohusu Uongozi na Maadili ili kuongeza Uwezo na Ufanisi kwa Viongozi hao kuwajibika kwa Chama na Wananchi

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akijadiliana jambo na Katibu wa NEC Siasa, Uenezi, Itikadi na Mafunzo Ndugu Paul Makonda na mara baada ya kufunga Mafunzo ya wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Wajumbe Wamefundishwa Mada Tofauti zinazohusu Uongozi na Maadili ili kuongeza Uwezo na Ufanisi kwa Viongozi hao kuwajibika kwa Chama na Wananchi

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.