PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI BUNGENI JIJINI DODOMA

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa umma na Utawala Bora .Jenista Mhagama, akizungumza na  Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)  David Silinde , mazungumzo hayo yalifanyika bungeni leo.
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.Nape Nnauye (kulia), akibadilishana mawazo na   Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,Ridhiwani Jakaya Kikwete 
Mbunge wa nyang'wale Nasoro Amar, akitoa mchango wake bungeni
Naibu Waziri  Ujenzi Kasekenya, akijibu maswali ya wabunge
Mbunge wa Sengerema khamis Tabasamu, akiuliza swali bungeni

Mbunge wa Nantumbo Vita Kawawa, akiuliza swali bungeni

Mbunge Getere akiuliza swali
Mbunge wa Kilwa Kazikazini, Ndurani akiuliza swali
Mbunge wa Nyasa, Mhandisi Stellah Manyanya, akiuliza swali bungeni
Mbunge wa viti Maalimu Alice Kaijage, akiuliza swali bungeni
Naibu waziri wa Nishati Byabato, akijibu maswali ya wabunge

Naibu Waziri wa Maliasili na utgalii Mary Masanja, akijibu maswali ya wabunge
Mawaziri  wakibadiloishana mawazo  ndani ya ukumbi wa bunge , Nape Nnauye na Mwigulu Nchemba
Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia ,Omary Juma Kipanga, akijibu maswali ya wabunge

Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa, akijibu maswali ya wabunge
Naibu Waziri Mavunde, akijibu maswali ya wabunge

Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba, akijibu maswali ya wabunge
Mbunge Maganga, akiuliza swali
Waziri Mkuu Kassim Mjaliwa na Mbunge Kapinga wakjadiliana jambo

Naibu Waziri wa aMambo ya Ndani,  Jumanne Sagini akijibu maswali ya wabunge

Mbunge wa Viti Maalum, Chomete, akiulikza swali
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari  Nape Nnauye,akijibu maswali ya wabunge

Waziri Mkuu Kassim Mjaliwa na Mbunbe Kapinga, wakimsikiliza kwa makini Spika Dkt Tulia Ackson, alipokuwa akitangaza tgaarifanyake

Spika Dkt. Tulia Ackson, akiwatangazia wabunge kuhusu majadiliano bungeni
 Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Dkt. Eliezer Mbuki Feleshi, akiwaslisha mswaada bungeni
Waziri Mkuu Kassim Mjaliwa, akibadilishana mawazo na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete
Waziri Mkuu Kassim Mjaliwa na Spika Dkt. Tulia Ackson, wakienda kupiga picha na baadhi ya wananchi waliotembelea bunge
Waziri wa Nchi Nchi Ofisi ya Rais Kazi Maalum  John Chiligati na Mbunge wa Kilosa Profesa Palamagamba Kabudi, wakibadilishana mawazo
 

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.