RAIS DKT. SAMIA KATIKA TAMASHA LA KIZIMKAZI ZANZIBAR LEO


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika viwanja vya Paje kwa ajili ya kuhudhuria Tamasha la Kizimkazi (Usiku wa Samia) Paje Zanzibar tarehe 30 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia vikundi mbalimbali vya Sanaa vikitumbuiza kwenye Tamasha la Kizimkazi (Usiku wa Samia) katika viwanja vya Paje Zanzibar tarehe 30 Agosti, 2023.
Viongozi, Wananchi kutoka sehemu mbalimbali nchini wakiwa kwenye viwanja vya Paje kuhudhuria Tamasha la Kizimkazi (Usiku wa Samia) lililofanyika Paje Zanzibar tarehe 30 Agosti, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia Simba wakati akikagua mabanda mbalimbali yaliyopo kwenye viwanja vya Paje katika Tamasha la Kizimkazi (Usiku wa Samia) Zanzibar tarehe 30 Agosti, 2023.

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.