WANAWAKE JESHI KUBWA HAKUNA KULALA CHAAPENI KAZI -MAJALIWA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson Baada ya kuwasili katika hafla ya siku ya mwanamake wa Bunge iliyofanyika viwanja vya bunge jana usiku.
Waziri Mkuu Kasim Majaliwa, akisalimiana na Katibu wa Bunge la Tanzania Nenelwa Mwihambi baada ya kuwasili katika hafla hiyo
Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG) Shally Raymond, akitoa nasaha zake katika hafl hiyo

Waziri Mkuu, Kassim Mjaliwa akipiga picha na wajumbe wa chama hicho na waunga juhudi zao ambao ni baadhi ya wabunge wanaume

Wajumbe wa Chama hicho wakipiga nao picha na Waziri Mkuu
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akipiga picha na wajumbe walioimba  wimbo maalum na shairi maalum katika hafla hiyo
Picha na wanakamati wa maandalizi ya hafla hiyo
Waziri mkuu Kassim Majaliwa, akimkabidhi zawadi Spika Dkt. Tulia Ackson
Spika Dkt. Tulia Ackson ,akimkabidhi zawadi  Katibu wa bunge Nenelwa Mwihambi


Katibu Mwihambi, akitoa salamu zake


Waziri Mkuu akihutubia washiriki wa hafla hiyo
 

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.