RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN ALI MWINYI AZUNGUMZA NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI NA WAANDISHI WA HABARI IKULU


WAANDISHI wa Habari wa Vyombo mbalimbali vya habari vilioko Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kujibu maswali yaliyoulizwa na Waandishi, wakati wa mkutano wake wa kila mwisho wa mwezi kuzungumza na Waandishi, mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 29-4-2023.(Picha na Ikulu)

WAANDISHI wa Habari wa Vyombo mbalimbali vya habari vilioko Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kujibu maswali yaliyoulizwa na Waandishi, wakati wa mkutano wake wa kila mwisho wa mwezi kuzungumza na Waandishi, mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 29-4-2023.(Picha na Ikulu).

WAKUU wa Vyombo vya Habari Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa mkutano wake na Waandishi wa habari na Wahariri wa vyombo vya Habari, uliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 29-4-2023.

MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC) Ndg. Ramadhan A Bukini akizungumza wakati wa mkutano wa Wahariri na Waandishi wa vyombo vya habari na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, uliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 29-4-2023.

Comments

Popular posts from this blog

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.