MSHIKE MSHIKE BUNGENI LEO 27

Mbunge wa Jimbo la Lupa, Masache Kasaka(kulia), akiingia bungeni leo na wabunge wenzake kwa ajili ya bunge la bajeti ya mwaka huu Wabunge Olivar Semguruka na Nassor Amar, wakiwahi bungeni kabla ya siwa kuingizwa ukumbini
Mbunge wa jimbo la Igalula akijadili bajeti ya Wizara ya Madini leo

Waziri Mkuu Kassim Mjaliwa, akijadiliana jambo na Waziri wa  Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulenga
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR – TAMISEMI), Deogratius Ndejembi, akijibu maswali ya wabunge leo
Mbunge wa Viti Maalum Esther Midimu, akichangia katika maswali ya asubuhi
Shally Josepha Raymond.akichangia kipindi cha asubuhi
Mbunge Viti Maalum Kunti Mjala, akichangia bajti ya Wizara ya Madini
MBUNGE wa viti maalum wa Mkoa wa Manyara, Regina Ndege, akichangia bajeti ya Wizara ya Madini
Naibu Waziri Byabato, akijibu maswali ya wabunge kipindi cha  asubuhi
NAIBU Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Eng. Godfrey Kasekenya, akijibu maswali ya wabunge
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe, akimsikiliza kwa makini Mbunge wa Viti Maalum Ngwasi kamani
Waziri wa Madin  Doto Biteko, akiwasilisha bajeti ya wizara yake kwa mwaka 20222


Wabunge na Madiwani wa Majimbo ya uchaguzi Manyala, wakipiga picha walipolitembelea bunge leo
Mbunge wa Viti Maalum  Hawa Mchafu akipiga picha na wageni wake leo asubuhi
Mageni Kasalali wa Jimbo la Sumvu, akiwa na wageni wake

Waziri wa Madini Doto Biteko, akibadilishana mawazo na mfanyabiashara wa madini Ali Othman wakati wa kipindi cha mapumziko
Waziri Biteko, akipiga picha na  akinamama wa Chama cha Wafanyabishara wa Madini nchini

Wanafamilia kutoka Tabora na Shinyanga, wakipiga picha ya pamoja

 

Comments

Popular posts from this blog

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.