KINANA AFUNGUA MKUTANO WA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA TANZANIA NA BURUNDI PAMOJA NA KUZUNGUMZA NA KAMAT YA UONGOZI YA BUNGE LA TANZANIA

 

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Ndg Abdulrahman Kinana akizungumza na Kamati ya Uongozi na Makamu Wenyeviti wa Kamati za Kudumu za Bunge leo wakati wakihitimisha Mafunzo ya Viongozi hao leo tarehe 28 Februari, 2023 katika ofisi ndogo za Bunge Tunguu, Zanzibar.

Mwenyekiti Wa TCD na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara  Ndg. Abdulrahman Kinana Akizungumza katika ufunguzi wa mkutano wa viongozi wa vyama vya siasa vya burundi na Tanzania uliofanyika Zanzibar leo Februari 28 Mach 2023. Mkutano huo umeandaliwa na kituo cha demokrasia Tanzania ( TCD)  na utajadili umuhimu wa majadiliano baina ya vyama vya siasa. (Picha na Fahadi Siraji CCM)


Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.