RAIS SAMIA AKUTANA NA VIONGOZI WA TAASISI MBALIMBALI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

 


 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Kimataifa la Elizabeth Glaser Pediatric AIDS Foundation (EGPAF) linaloshughulikia kuzuia maambukizi ya virusi vya ukimwi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto, Chip Lyons Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Januari, 2023.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Kimataifa la Elizabeth Glaser Pediatric AIDS Foundation (EGPAF) linaloshughulikia kuzuia maambukizi ya virusi vya ukimwi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto, Chip Lyons pamoja na ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Januari, 2023.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Kimataifa la Elizabeth Glaser Pediatric AIDS Foundation (EGPAF) Chip Lyons pamoja na ujumbe wake mara baada ya mazungumzo Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Januari, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Mazungumzo na Mwenyekiti wa Kamisheni ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu Remy Ngoy Lumbu pamoja na Mratibu wa Kimataifa wa Mtandao wa Watetezi wa haki za Binadamu Onesmo Olengurumwa Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Januari, 2023.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Kamisheni ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu Remy Ngoy Lumbu pamoja na Mratibu wa Kimataifa wa Mtandao wa Watetezi wa haki za Binadamu Onesmo Olengurumwa mara baada ya mazungumzo  Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Januari, 2023

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.