RAIS DKT.MWINYI AJUMUIKA NA WAUMINI KWENYE SWALA YA IJUMAA KATIKA MASJID AL SWAFAA

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akisalimiana na Viongozi wa   Masjid AL Swafaa  Gongoni  Wilaya ya Mjini, Mkoa Mjini Magharibi alipowasili na kushiriki katika   Swala ya Ijumaa na Waumini waliuofika katika Msikiti huo .[Picha na Ikulu] 30/12/2022. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na Sheikh Omar Abdi Abdalla aliyetoa khutba ya Swala ya Ijumaa, Masjid Al Swafaa uliopo  Gongoni  Wilaya ya Mjini  Mkoa Mjini Magharibi mara baada ya  kujumuika na  Waumini mbali mbali katika Swala ya Ijumaa  leo (katikati) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi.[Picha na Ikulu] 30/12/2022.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na Waumini mbali mbali na Viongozi  mara baada ya  kujumuikanao  katika Swala ya Ijumaa  katika Masjid Al Swafaa uliopo  Gongoni  Wilaya ya Mjini, Mkoa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 30/12/2022.

Wamini wa Dini ya Kiislamu katika Masjid Al Swafaa uliopo  Gongoni  Wilaya ya Mjini, Mkoa Mjini Magharibi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)   wakati akizungumza na kutoa salamu kwa Waumini hao  mara baada kujumuika katika Swala ya Ijumaa leo.[Picha na Ikulu] 30/12/2022.    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akisisitiza jambo wakati akizungumza na Waumini wa dini ya Kiislamu  mara baada kujumuika katika Swala ya Ijumaa katika Masjid Al Swafaa uliopo  Gongoni  Wilaya ya Mjini, Mkoa Mjini Magharibi leo.[Picha na Ikulu] 30/12/2022. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) pamoja na Viongozi na Waumini wa dini ya Kiislamu  wakiitikia dua iliyosomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (wa pili kushoto) mara baada kujumuika katika Swala ya Ijumaa katika  Masjid Al Swafaa uliopo  Gongoni  Wilaya ya Mjini, Mkoa Mjini Magharibi leo.[Picha na Ikulu] 30/12/2022. 

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.