MATOKEO YA TAFITI KUHUSU KUCHAGIZA HAKI ZA WAZEE

Mwenyekiti wa Baraza la Ushauri la Wazee Taifa Lameck Sendo, akikata utepe kuzindua Taarifa ya Utafiti kuhusu wazee nchini Uzinduzi huo ulifanyika jijini Dodoma leo.Wengine toka kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Mkoa wa Morogoro, Leah Nzali, Mjumbe wa Baraza la Wazee Mkoa wa Dodoma Mary Buregi na Katibu wa Baraza hilo Mkoa wa Dodoma Oswin Kachenje.


Baadhi ya Viongoziwa Baraza la Wazee nchini wakiwa katika picha ya pamoja na wawakilishi wa Help Age,Tume ya Haki za Binadamu,Taasisi ya Mwalimu Nyerere na Waandishi wa habari wakiwa wameshikilia na lipoti hiyo. Mkutano huo umefanyika jijini Dodoma leo.

Meneja Program, Haki,Sera na Ushirikiano wa wadau wa wazee Joseph Mbasha, akitoa mada katika mkutano huo
Mkurugenzi wa masuala ya Wazee wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Joshua Taramo, akitoa mada iliyohusu mfumo wa muundo wa haki za wazee kwa kuzingatia itifaki ya haki za wazee. Kaatika warsha iliyofanyika jijini Dodoma leo.


Katibu wa Jukwaa la Wahariri nchini Neville Meena, akitoa mada yake kuhusu wazee     katika mkutano uliofanyika jijini Dodoma jana.

Wazee wakiwa katika mkutano huo ukizungumzia haki zao, sera yao tangu mwaka 1993 hadi leo haijatungiwa sheria



Makamu Mwenyekiti wa baraza la Wazee Mkoa wa Morogoro, Leah Nzali (kushoto),  amesema Serikali imesababisha wazee wengi nchini kuisha katika maisha magumu yasiyoelezeka kwa sababu imekataa kuitungia sheria Sera ya wazee tangu mwaka 1993, sera zingine zinatungiwa sheria haraka haraka. waliopo madarakani wanajisahau kanakwamba hawatakuwa wazee muda ukifika. Aidha Lea amebainisha kwamba wazee wengi wanaigizwa majalibuni na watoto wao wenyewe waliowaza,  mfano mmoja wapo anapofariki watoto huja juu pindi anapotaka kuoa watoto wakidai mama yao mpya atakuja kufuja mali iliyoachwa na mama yao hapo hapo wao wanamletea watoto wao kukaa nao ,unategemea nini binti yako unampeleka kwa baba yako akakee nae wakati umemkatalia kuoa , aidha watoto hao hao wanaangalia mali zilizochumwa na wazazi wao kanakwamba walitafuta wao, ndiyo maana wanaombea wazazi wao wafe ili walithi na wengine wanawaou ndiyo maana hivi sasa umri wa kuikshi kizazi hiki kila kunapokucha unapungua kutoakana na laana ya wazazi wao ambao wanakufa huku wakiwanugunikia. Sera ya wazee kati ya nchi 56 imesainiwa na nchi 6 tu unategemea nini  ikumbukwe kwamba wote ni wazee wataalajiwa ni swalaa muda tu uwe serikalini au sehemu yoyote.
Mwenyekiti wa Baraza la Ushauri la Wazee Taifa Lameck Sendo, akizungumza na waandishi wa habari
Nevil Meena, kwanini wazee kila baya sasa ni lao, mzee kamlawiti mjukuu wake, Mzee kabaka mtoto wa miaka 7 nk . Uzee sasa umekuwa kama laana na wengi sasa wanaona bora kubadilisha sura wasionekane wazee kutokana na jamii inavyowafikilia kutokana na matendo hayo.

 

Comments

Popular posts from this blog

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.