Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia sekta ya Mifugo Tixon Nzunda, akutana na wafugaji Dodoma

Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia sekta ya Mifugo Bw. Tixon Nzunda (kushoto), akaizungumza na Dkt. Moses Ole Sure, mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linalojishugulisha na Chakula FAO, baada ya kufungua warsha ya wadau ya kupitia na kuthibitisha, rasimu ya Sera ya Taifa ya mifugo ya Mwaka 2022 . Warsha hiyi ya siku moja imefanyika jijini Dodoma na wakuhudhuliwa na wadau ,kutoka mikoa yote ya Tanzania Bara

Mfugaji Shamba Kubwa Longido akizungumza na waandishi wa habari katika kipindi cha mapumziko cha warsha hiyo
Mkurugenzi wa Sera na Mipango Wizara ya Mifugo na Uvuvi Sekta ya Mifugo, Venance Ntiyalundura, akizungumza na Waandishi wa habari akielezea warsha hiyo na kuwataka wafugaji waondokane na ufugaji wa kizamani usiokuwa na tija sasa wawe na mifugo michache yenye kutoa mazao mengi na kumletea faida kubwa mfugaji

Katibu Mkuu, akaipiga picha ya pamoja na washiriki wa warsha hiyo kutoka sekta mbalimbali








Dkt. Moses Ole Sure, mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linalojishugulisha na Chakula FAO, aakizungumza na waandishi wa habari kuhusu shirika hilo linavyotoa mahitaji na elimu katika nyanja mbalimbali nchini

\

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.