RAIS DKT.HUSSEIN ALI MWINYI AJUMUIKA NA WANAFUNZI WA KIDATU CHA SITA NA CHA NNE KATIKA CHAKULA ALICHOWAANDALIA IKULU NDOGO PAGALI PEMBA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Masjid Munawwara Mfikiwa Wilaya ya Chakechake Pemba,alipowasili kwa ajili ya kuhudhuria Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo leo 29-7-2022.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Mfikiwa baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa, iliyofanyika katika Masjid Munawwara Mfikiwa leo 29-7-2022.(Picha na Ikulu)


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi (kulia kwa Rais) baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Munawwara Mfikiwa Wilaya ya Chakechake Pemba leo 29-7-2022.(Picha na Ikulu

 

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.