WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ALIAHILISHA BUNGE LA BAJETI 2022

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisoma hotuba ya kuliahilisha bunge la bajeti  leo lililokuwa likikutana jijini Dodoma kwa zaidi ya miezi mitatu huku mawaziri na manaibu mawaziri wao wakijibu maswali ya wabunge waliokuwa na kiu ya kufahamu nilini watapelekewa mahitaji ya maendeleo majimboni kwao yakiwemo mahitaji ya , barabara, maji na huduma nyingine  ambazo zinatakiwa kupelekwa na Serikali.


Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega, akijibu maswali ya wabunge leo

Mbunge wa Musoma Davida Mathayo akiuliza swali
Mbunge wa Ismani, William Lukuvi, akizungumza na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa  Dkt. Stergomena Lawrence Tax ndani ya ukumbi wa bunge leo

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwasili bungeni huku akizungumza na wabunge na mawaziri tayari kwa kuliahilisha bunge


Wanafunzi wa shule moja kutoka jijini Dodoma wakiwa bungeni












Kwaya ya utumishi ikitamnbulishwa bungeni
Spika Dkt. Tulia Ackson Mwanasasu, akimkalibisha Waziri Mkuu kusoma hotuba yake


Askari wa  Blasbendi wakipiga picha ya pamoja baada ya kufungwa bunge

Mbunge wa Viti Marum kutoka mkoa wa Mara, akizungumza na Waziri wa Maji Juma Aweso
 

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.