VIONGOZI WA WIZARA YA Utamaduni, Sanaa na Michezo WAKIWA BET AWARDS

Picha za kipekee kutoka jijini Los Angeles nchini Marekani wakati Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Mohamed Mchengerwa alipo udhuria tamasha la utoaji tuzo za BET kwa mwaka 2022, lililofanyika usiku wa kuamkia June 27 katika ukumbi wa burudani (arena) wa Microsoft theater.


Katika ziara hiyo Waziri Mchenegerwa ameambatana na Katibu Mkuu Dkt. Hassan Abbasi pamoja na Mkurugenzi wa Sanaa dkt. Emmanuel Ishengoma katika kutafuta ujuzi wa namna ya kuandaa tuzo kwa kiwango cha kimataifa, lengo likiwa ni kuunga mkono juhudu za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika kuitangaza Tanzania wakati ambapo Tanzania inatarajiwa kuwa mwenyeji wa tuzo za MAMA – MTV African Music Awards 2023.






 

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.