CHAMA CHA WAFANYABIASHARA WANAWAKE NCHINI CHAWAPIGA MSASA WABUNGE

Mkurugenzi Mtendaji wa Chjama cha Wafanyabiashara Wanawake nchini Mwajuma Hamza, akitoa maelezo kwa wanachama wa Chama cha Wabunge Wanawake nchini waliokutana katika ukumbi wa Msekwa jijini Dodoma. Mkutano huo ulifunguliwa na Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson Mwansasu na kuhudhuliwa pia na Baadhi ya wabunge wanaume wanaounga harakati za wabunge wanawake.


Baadhi ya wajumbe wa wanachama wa wafanyabiashara wanawake


SSpika Dkt, Tulia, akifungua mkutano huo
Mjumbe Mbunge Injini Aisha Lulenge akichangia
Wajumbe wakipiga picha ya pamoja baada ya kumalizika mkutano huo


 

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.