LEO BUNGENI DODOMA



Wabunge ambao ni mashabiki wa timu ya yanga, wakipiga picha na wachezaji wa yanga pamoja na kombe baada ya kutambulishwa bungeni  leo

 Wachezaji wa Timu ya Mbao kutoka Mwanza wakipiga picha na baadhi ya wabunge  baada ya kulitembelea leo

Mbunge wa Newala George Mkuchika akizungumza na Meneja wa Shirika la Taifa la Nyumba wa Huduma za Jamii, Muungano Saguya wakati wa kipindi cha mapumziko cha wabunge, Kulia ni Afisa Habari wa Shirika hilo Yahya Chalahani
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mwigulu Nchemba, akizungumza na wachezaji wa mbao baada ya kupiga nao picha jana katika viwanja vya bunge


Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni ambaye ni Mbunge wa Hai Freeman Mbowe na Mbunmge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe wakiwa wameshika kombe lililotwaliw na Yanga moja kwa moja  baada ya kulitwa mara tatu mfululizo. 

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.