WACHEZAJI YANGA WAKISHANGILIA MABAO YAO

 Chirwa akishangilia baada ya kuifungia timu yake ya Yanga bao la Pili

Wachezaji wa Yanga wakishangilia bao lililofungwa na mshumbuliaji wa timu hiyo Obrey Chirwa, dhidi ya Mwadui FC, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara uliochezwa katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam jana.Picha na Joh Dande










Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.