UOKOAJI WA WALIOFUKIWA KWENYE MACHIMBO GEITA

 Baadhi ya wachimbaji wadogo waliokuwa wamefukiwa katika mgodi wa RZ Union wakiwa hospitali ya Mkoa wa  Geita wakiendelea na matibabu baada ya kuokolewa jana. Picha na Lordrick Ngowi                                                                                                                                                                                        


Ndugu wakiwakumbatia wachimbaji wadogo waliokuwa wamefukiwa katika mgodi wa RZ Union walipowatembelea hospitali ya Mkoa wa  Geita wakiendelea na matibabu baada ya kuokolewa jana.




Baadhi ya wachimbaji wadogo waliokuwa wamefukiwa katika mgodi wa RZ Union wakiwailiana na jamaa zao kwa simu walipokuwa katika hospitali ya Mkoa wa  Geita wakiendelea na matibabu baada ya kuokolewa 





Mmoja wa wachimbaji wadogo waliokuwa wamefukiwa katika mgodi wa RZ Union, Dicksoni Morris akiwasimulia ndugu na jamaa waliofika katika hopitali ya Mkoa wa Geita kuwajulia hali jana tabu walizozipata mgodini kwa siku tano

Kikosi cha uokoaji kikiokoa wachimbaji  wadogo waliofukiwa katika mgodi wa RZ Union uliopo mkoani Geita jana. Picha na Emmanuel Ibrahim                                                                                                                                 sam; sms za wachimbaji wakiwa ndani ya mashimo              


 Mchina akiokolewa
 Huduma mbalimbali zikitolewa wakati wa uokoaji

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.