wahuni na polisi walivyofanikiwa kuvunja mkutano maalum wa cuf dar

 Wafanyakazi wa Huduma ya Kwanza wakimsaidia mmoja wa wajumbe wa mkutano Mkuu Maalum wa CUF, baada ya kupigwa kiti na wahuni walioingia katika ukumbi wa mikutano kwa kusaidiwa na Askari polisi kwa nia ya kuuvunja

 Mjumbe huyu akilia  baada ya kuonja shubili ukumbini
 Mwenyekiti Mtalajiwa  Tasilima akitoka ukumbini baada ya kusambalatishwa na wahuni


 Wajumbe wakiwa ukumbini

 Wajumbe wakibembelezana baada ya kujionea kazi ya wahuni wa bara na askari wao
 Mmoja wa wafuasi wa Lipumba akisisitiza kutofanyika uchanguzi ukumbini hapo hapa ni katika kipindi cha mapumziko ya mlo wa mchana
 Anayedaiwa Askari kanzu mwenye shati la kitenge akiamlisha mlango ufunguliwe wahuni waingie ukumbini kwenda kuvunja mkutano mfuatilie kwenye picha hizi utajionea jinsi alivyofanikiwa kuuvunja na akisaidiwa na wahuni aliokuwa nao


 Akiwa pembeni huku ameshikilia mlango wahuni wakigombea kuingia mlangoni



 Wakibeba viti kwa ajili ya kuwalushia wajumbe
 Wakiwatukana viongozi wa chama


Baadhi ya  Viti vikiwa vimevunjwa ukumbini



 Katibu Mkuu wa Chama akiondolewa ukumbini ili asije kupigwa na viti vilivyokuwa vikilushwa na wahuni huku polisi wakishuhudia bila kuchukua hatu yoyote



 hapa kbala ya kufunhguliwa mkutano kulikuwa na shamla shamala za ngoma kutokla mkoani kagera

 Wajumbe wakiwa ukumbini kabla ya mambo kuwa mambo




Wakiomba duaa ili kuanza mkutano



 Jinsi wahuni walivyoandaliwa na kuvalishwa T sheti
 Askari kanzu mwenye shati la batiki akiamlisha kuwekwa ndani kijana aliyekuwa akipinga katibu mkuu wa chama hicho kudhalilishwa na wahuni
 akipelekwa ndani

 Wahuni hjawa hawakuguswa na askari hao pamoja na fujo zote hizi





Akimpeleka Lipumba ukumbini kwa nguvu bila kuuliza uongozi wa chama















 Mjumbe akilia
Lipumba akiwa ndani ya ukumbi huku akilindwa na mabausa wa kampuni ya ulinzi kutoka Mtwara




Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.