TIGO FIESTA 2016 KAHAMA NA MULEBA

Msanii wa kizazi kipya Baraka da Prince, akionyesha ujuzi wake wa kucheza na jukwaa katika Tamasha la Tigo Tazaia Fiesta lililofanyika katika mjini wa Kahama mkoani Kahama 

 Christian Bella akionyesha mavituzi yake kwenye fiesta kahama


 Chege Chege chibindu, na kundi lake kwenye fiesta kahama akiwaonyesha mavituuzi yake



 Joh Makini,  jukwaani Muleba uwanja wa David Zimbihille
 Jux akonyesha mavituuzi Kahama

 Mashabiki wa Muleba Uwanja wa David Zimbihile
 Reymond na kundi lake wakioyesha makali yao
Shilole na mashabiki wake akiwapoza baada ya kucheza nao muleba

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.