BUNGEN I DODOMA LEO



Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) akiwasilisha hoja za makadirio ya matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka wa fedha 2016/17 katika mkutano wa Bunge leo (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 


Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) akizungumza na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge), Musa Uledi mara baada ya kupitishwa kwa bajeti ya Ofisi hiyo 

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Mhe Dkt. Abdallah Possi (kushoto) akizungumza na Kamshna Msaidizi Kitengo cha Wenye Ulemavu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Beatrice Fungamo 
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) akimsikiliza Mratibu wa Taifa wa Programu ya Miundombinu ya Masoko, Uongezaji Thamani na Huduma za Kifedha Vijijini (MIVARAF) Bw.Walter Swai nje ya Ukumbi wa Bunge
 Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana na Ajira) Mhe. Anthony Mavunde (kulia) akizungumza na Mkurugenzi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Prof. Godius Kahyarara (kushoto)

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (wa saba kutoka kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na Watendaji wa Ofisi hiyo, kulia kwake ni Naibu Waziri (Kazi, Vijana na Ajira) Mhe. Anthony Mavunde na kushoto ni Naibu Waziri (Watu wenye Ulemavu) Mhe Dkt. Abdallah Possi katika viwanja vya Bunge Dodoma leo

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.