UJUMBE WA RAIS KIKWETE





RaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa atastaafu rasmi nafasi yake kama Rais w aNne wa Jamhuri ya Muungano Alhamisi ya Novemba 5, mwakahuu, 2015, wakati Rais mpya na watano atakapoapishwa.

Aidha, RaisKikweteleo, Oktoba 25, 2015 amepangafolenikwakiasi cha dakika 16 pamojanawapigakurawenginewakijiji cha kwao cha Msoga, WilayayaBagamoyo, MkoawaPwanikwaajiliyakupigakurakatikaUchaguziMkuuuliofanyikaleo.

RaisKikweteakifuatanana Mama Salma KikweteamewasilikatikaKituo cha Kupigia Kura cha HospitaliyaMsogakiasi cha saasitanadakika 21 mchananakwendamojakwamojakwenyefoleniyawapigakuraakiwanawatukiasi cha 12 mbeleyake.

Akiwaanaendeleanamazungumzonabaadhiyawanakijijikwenyefoleni, baadhiyawapigakurawenzakewalianzakujisikiavibayakuwambeleyaRaisnakuanzakudaikuwakuwemokwakekwenyefolenikulikuwakunacheleweshafoleninakuwafoleniingekwendakasizaidikamaangetanguliakupigakura. Kusikiahiyo, Raisaliombaradhinakwendamojakwamojakwamsimamiziwakituohicho cha kupiakurakwaajiliyakupigakura.

MsimamiziwakituohichoalisomanambariyakadiyauandikishajiwakupigakurayaRaisKikwetekwasautiyajuuilimawakalawotewaisikie – nambari100377167974 - ikahakikiwanabaadayeakapewakaratasizakupigiakura. Alifuatiwakwenyekupigananamtoto wake wakiume, Ali Kikwete. 

Mara baadayakupigakura, RaisKikweteamewaambiawaandishiwahabarikuwatareheyakerasmiyakustaafuniAlhamisiyaNovemba 5, mwakahuu, siku 11 kutokaleo, wakatiRaismpyawa Tanzania, RaiswaTanoatakapoapishwaUwanjawaUhuru, Dar es Salaam.

“Nimetimizahakinawajibuwangukamaraiawanchiyetukwakupigakuranasasanatamanikuwasikuyanguyamwishokaziniingekuwakesho. KwabahatimbayabadoikombalinanalazimikakusubirimpakaNovemba 5, wakatinitakapokabidhimadarakakwaRaiswetuajaye,” amesemaRaisKikwetenakuongeza:


“Nafurahikuwampakasasahivitaarifanilizozipatazinasemakuwazoezi la upigajikuralinaendeleavizurinchinzima. Hakunamatukioyoyoteyamatatizo. Ni utulivumtupukilamahali.”

Amesemakuwaatakuwanamapumzikoyakiasi cha miezimitatumaratubaadayakuondokamadarakaninabaadayahapoataanzakaziyakuundanakujengataasiyakempyayamaendeleo.

AlipoulizwanamtangazajiwaKituo cha Televisheni cha Citizen cha Kenya kamaataendeleakujihusishanakujishirikishanamasualayaJumuiayaAfrikaMashariki (EAC), RaisKikweteamesema:

“TatakuwanaRaismwingineambayeataendeleakuiwakilisha Tanzania katikashughuliza EAC. Mimi nimetoamchangonaimetosha. Naondokamwenyefurahasanakuwanamiminilipatanafasiyakuwatumikiawana-AfrikaMashariki. Kubwanikwambanitaendeleakutoamchangowangukwamaendeleoyanchiyetukwanamnanyinginenakatikanafasinyinginekamaraiamaarufuwanchiyetu.”

Mara baadayakupigakuranakuzungumzanawaandishikwamudamfupi, RaisKikweteameondokakituonikwendanyumbanikwakekuendeleanashughulizakenyingine.

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.