LOWASSA, KIKWETE,PINDA NA UPIGAJI KURA


Mgombea urais wa Chadema chini ya mwamvuli wa Ukawa, Edward Lowassa, akipiga kura katika kituo cha Ngarashi, Kata ya Engutoto wilayani Monduli mkoani Arusha

Wananchi waliojiandikishia katika kituo cha bomani bagamoyo mjini wakiwa katika foleni ya kupiga kura  leo

 Ofisa katika kituo cha kupigia kura katika kituo cha hospitali ya kijiji cha Msoga akihakiki kadi ya kupigia kura ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete


Wananchi wa eneo la kariakoo sokoni wakaiwa katika foleni ya kupiga kura
 




Ofisa katika kitu cha kupiga kura akimkabidhi Rais Kikwete karatasi za kupiga kura.


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiandika kura yake ya siri.
 


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipiga kura ya Rais Mbunge na Diwani katika kituo cha kupiga kura cha hospitali ya kijiji cha Msoga,Kata ya Msoga wilayani Bagamoyo leo(picha na Freddy Mar

 Akipakwa wino
 Wananchi wa bagamoyo waliojiandikishia katika eneo la Stendi kuu ya bagamoyo wakiwa katika foleni ya kupiga kura




Mkazi wa mtaa wa Swahili kariakoo dare s Salaam akipiga kura jana

 


 Mtaa wa Kongo unaonekana ulivyo leo
 Waziri mkuu mizengo pinda akipiga kura leo leo kwake kibaoni



Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akiwa amembeba mototo aliyezaliwa usiku wa kuamkia tarehe 25,-10-2015  na kupewa jina la Magufuli katika kituo cha Afya cha Kibaoni wilayani Mlele Oktoba 25, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.