YANGA NA SIMBA TAIFA LEO
Wachezaji wa yanga na simba wakigombea mpira katika mchezo wa ligi kuu uliochezwa jana uwanja wa Taifa
Mmashabiki wa simba wakishangilia timu yao
Mganda Emmanuel okwi akishangilia
Ngassa , akitafuta jinsi ya kumtoka beki wa simba
Kanavalo akimzuia
Baada ya kuchezewa vibaya anataka kuzichapa
Kocha wa simba akijisifu kwa kupigapiga kifua chake baada ya mchezo
Wakishangilia baada ya mchezo kumalizika
wakimpongeza kocha wao
Comments
Post a Comment