MCHUNGAJI DK.LWAKATARE,AWAANDALIA CHAKULA CHA JIONI WANANDOA KANISANI KWAKE


 Mchungaji Mkuu wa kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni B, Dk. Getrude Lwakatare, akizungumza na waandishi wa habari leo kuhusu kuandaa chakula cha wanandoa kitakachofanyika March 6 mwaka huu. lego lake ni kuwaweka karibu wanandoa kwa siku hiyo pamoja na kupatiwa mafunzo ya kuimalisha ndoa zao.

mchungaji huyo alisema kwamba siku hizi baadhi ya ndoa zinavunjika hata zikiwa na miezi sita tu zamani ilikuwa vigumu kuona kitu kama hicho, wengine wanaolewa au kuo ni kudai kuondoa mkosi na badai kuachana  kitu ambacho ni makosa, mmeapa mbele ya madhabahu ya mwenyezi mungu na mashahidi ni ndugu zenu na kuapa kwamba  ni kifo tu kitakachowatengeneisha sasa wanaachana mapema kiasi hicho.

Amewaomba wanandoa kujitokekza kwa wingi kiingilio kitkuwa Sh 30000 kwqa wawili na Sh 15,000 kwa mmoja cha muhimu ni kuja kusikiliza mafundisho hayo ili tanzania iondokane na kuwa na watoto wengi wa mitaani ambao wanasababishwa wakati mwingine kuachana kwa wazazi baada ya hapo watoto wanaona kulele na mama au baba wa kambo ni mateso, na kuamuam kukimbilia mitaani.










 Akisisitiza jambo alikpokuwa akizungumza nao









Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.