MAMBO YA BUNGENI NA VIOJA VYAKE

 Nimrod Mkono, akijisoma nyaraka bungeni
 Mnyaa, akisisitiza hoja yake bungeni kuhusu fedha za IPTL
 John Myika, akichangia hoja
Mwigulu Mchemba, akikili kwamba fedha hizo ni za serikali lazima zilipwe kodi
 Wasukuma wanamwita Ngwananchambi yeye alitetea ukwapuaji wa fedha hizo, wanakishapu mpo anawafaa mbunge huyu, mtamkumbuka Mpendazoe shauli yingwe basukuma bichane
 Ole Sendeka, akimchambua Profesa Muhongo
 
 Vituko vya Mbunge wa Mwibara, akionyesha bungeni wakati wa kuchangia IPTL, kwa kutaka kuvaa shati la kijana linalovaliwa na wanaccm
 Akivaa  kininja ili asiwaonee haya waliokwapua fedha hizo, hata hivyo alikatazwa akavua


 Wageni wa bunge wakisikiliza kwa makini
 Mtoa hoja Zitto, akimjibu Waziri hawa Ghasia , alipotaka kulipotosha bunge kwa kumtetea Waziri mwenzake Muhongo


Comments

Popular posts from this blog

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.