Kampuni ya Dalbit Petroleum limited yakabidhi polisi pikipiki


Kamishna wa Oporesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi nchini, Paul Changonja (kulia), akimsikiliza Mkuu wa habari wa Jeshi hilo Seso kabla ya kukabidhiwa pikipiki aina ya
Boxer BM na Kampuni ya Dalbit Petroleum limited. Hafla hiyo ilifanyika makao Makuu ya Jeshi hilo . Kushoto ni Mkuu wa Kikosi cha Usalama Nchini Mohamed Mpinga. Pikipiki hizo ni kwa ajili ya kukabiliana na wahalifu.








 
Maofisa wa Kampuni ya  Dalbit Petroleum Limitedwakiwa katika hafla hiyo.
 Mwenyekiti wa kampuni hiyo Humphrey  Kariuki, akizungumza kabla ya kukabidhi msaada huo
 Chagonja, akizungumza kabla ya kukabidhiwa


 Chagonja, akijaribu kuendesha pikipiki baada ya kukabidhiwa






Comments

Popular posts from this blog

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.