RAIS JAKAYA KIKWETE AZINDUA BARABARA YA NEW BAGAMOYO

Wanamuziki wa Bendi ya Msondo, wakitoa burudani katika hafla ya uzinduzi wa barabara ya New bagamoyo uliofanywa na Rais Jakaya Kikwete.
Roalio Ling'ande (kulia0, na wenzake wakionyesha vitu vyao nyuma yao ni mabela akilikunguta gitaa nene la solo


Shaban Dede akiimba

Kova, Mkuu wa Mkoa wa dar es Salaam wakiwasili
Rais Jakaya Kikwete, akiwasili katika uzinduzi huo
Akisalimiana na waalikwa


Kikundi cha burudani  Kinondoni
Kikundi cha Utamaduni cha Jeshi la Kujenga Taifa JKT
Waalikwa wakiwa katika uzinduzi
Wanautamaduni wa JKT
Barabara inavyoonekana
Mwanamama, askari akiwa makini lindoni
Wanausalama wakitandika mazulia




Mbunge wa Kawe, Halima Mdee, akiwasili katika uzinduzi huo huku akisindikizwa na wananchama  wa chama hicho

Wana  CCM na Chadema, wakishangilia
Balozi wa Japan, Masaki okada, akisoma hotuba yake  kwa kiswahili
Ulinzi ukiwa umeimalishwa eneo hilo

Rais Jakaya kikwete, akiwasalimia wananchi kabla ya kuanza kuhutubia
Wanafunzi wa Shule ya msingi Makono, wakipita eneo hilo
Piteni kuleee
Rais akienda katika uzinduzi
Akikata utepe  sambamba na balozi wa Japan

Wakipiga picha ya pamoja



Akiondoka katika eneo hilo
Akiagana na balozi
Akiagana na Mdee

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.