TIMU YA STARS KAMBINI MBEYA

 Kocha mkuu wa Timu ya taifa ya Tanzania taifa Stars Mart Najool katikati akiwaongoza wachezaji kulihamisha goli jana katika uwanja wa Chuo cha Ualimu Tukuyu wakati wa mazoezi ya kujiwinda  na  mchezo wa marudiano dhidi ya Msumbuji

 Wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars wakiwa katika mazoezi ya kuruka viunzi jana katika uwanja wa Chuo cha ualimu Tukuyu,mazoezi hayo ni kwa jili ya mchezo wa marudiano dhidi ya Msumbiji  The Mambas kusaka tiketi kuelekea michuano ya Africon


Comments

Popular posts from this blog

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.