MEMBE NA NYARANDU MKOANI MWANZA
Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe akiwa Waziri wa Wizara ya Mariasili na Utalii Lazaro Nyarandu katika uzinduzi wa filamu ya I Love Mwanza katika hafla iliyofanyika jijini Mwanza
Waziri wa Mambo ya nje
na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe akizungumza huku kushoto kwake akiwa
ni Waziri wa Wizara ya Mariasili na Utalii Lazaro Nyarandu katika
uzinduzi wa filamu ya I Love Mwanza katika hafla il
Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe akizindua rasmi huku kushoto kwake akiwa ni Waziri wa Wizara ya Mariasili na Utalii Lazaro Nyarandu na kulia kwake ni Mwenyekiti wa TDFAA katika uzinduzi wa filamu ya I Love Mwanza katika hafla iliyofanyika juzi jijini Mwanza
Comments
Post a Comment