RC MAKONDA WEZA YALIYOWASHINDA WENGI DAR

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, akizungumza leo na Kamanda wa Kanda Maalum Dar es Salaam, Mambosasa wakati wakisubili kuingia katika MELI ya Ark of Peace kutoka China, ambayo ameileta kwa ajili ya kusaidia kutoa matibabu ya bule kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam na vitongoji vyake kwa muda wa siku saba.
Akizungumza na wanahabari
 MELI ya Ark of Peace kutoka China inayotoa matibabu ya bule jijini Dar es Salaam
 Umati wa wakazi wa jiji la Dar es Salaam, wakiwa katika eneo la viwanja vya Makao Maku ya Kikosi cha Usalama Barabarani wakisubili kugawiwa namba ili waende kwenye matibabu ya bure

 Wakiwa na matumaini ya kupata namba ili wakapate matibabu

Gari la Jeshi likiwa na askari wastaafu ambao nao walikuwa wakienda kupata matibabu
 Sehemu ilipotia nanga kwa ajili ya kutoa matibabu
Kamanda Mambosasa, akitetea na wanahabari
Wagonjwa wakishuka kwenye gari l;a Jeshi baada ya lkuwasili bandalini

Askari wa Kichina akiwa na kahawa yetu baada ya kutoka kuinunua kwa ajili ya matuimizi ya kwenye meli hiyo
 Waonjwa wakienda ,kutibiwa baada ya kuihakikiwa
 Wakihakikiwa kabla ya lkuingia kwenye mel;i



Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA