BALOZI WA JAPAN ATEMBELEA WIZARA YA MADINI
Waziri
wa Madini, Angellah Kairuki (Kushoto) akizungumza jambo wakati wa
mkutano na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Masaharu Yoshida (hayupo
pichani) alipotembelea Ofisi za Wizara ya Madini za Dar es Salaam. Kulia
ni Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo.
Waziri
wa Madini, Angellah Kairuki (katikati) akijadiliana jambo na Balozi wa
Japan nchini Tanzania, Masaharu Yoshida (kushoto). Kulia ni Naibu Waziri
wa Madini, Stanslaus Nyongo.
Waziri
wa Madini, Angellah Kairuki (katikati) akizungumza wakati wa mkutano na
Balozi wa Japan nchini Tanzania, Masaharu Yoshida (kushoto). Kulia ni
Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo.
Waziri
wa Madini, Angellah Kairuki (kulia) na Balozi wa Japan nchini Tanzania,
Masaharu Yoshida (kushoto) wakimsikiliza Naibu Waziri wa Madini,
Stanslaus Nyongo (hayupo pichani).
Waziri
wa Madini, Angellah Kairuki (Kushoto) akizungumza jambo wakati wa
mkutano na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Masaharu Yoshida (hayupo
pichani). Kulia ni Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo.
Waziri
wa Madini, Angellah Kairuki (katikati) akijadiliana jambo na Balozi wa
Japan nchini Tanzania, Masaharu Yoshida (kushoto) alipotembelea Ofisi za
Wizara. Kulia ni Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo. Masuala
mbalimbali ya Sekta ya Madini nchini yalijadiliwa ikiwemo uwepo wa fursa
za uwekezaji.
Mgeni
Rasmi Waziri wa viwanda, biashara na uwekezaji, Mh. Charles Mwijage
akihutubia waalikwa mbalimbali kuhusu fursa zinazopatikana katika
uwekezaji. (OBOR Initiative) katika hafla ya chakula cha jioni
iliyoandaliwa na Stanchart bank jana,
Sanjay
Rughani akizungumza na wageni waalikwa katika hafla fupi ya chakula cha
jioni ambayo Standard Chartered Bank iliwaandalia wateja wake ambao ni
wenyeji kutoka China.
Bw.
Sun Chengfeng, Mkuu wa kitengo cha uchumi na biashara ambaye ni
mwakilishi wa China nchini Tanzania akizungumza na waalikwa katika hafla
ya chakula cha jioni iliyofanyika katika hoteli ya Hyatt Regency jijini
Dar es salaam
Mgeni
rasmi Mh. Charles Mwijage Waziri wa viwanda,biashara na uwekezaji
akibadilishana mawazo na Bw, Chengfeng , Mkuu wa kitengo cha uchumi na
biashara ambaye ni mwakilishi wa China nchini Tanzania katika hafla ya
chakula cha jioni iliyoandaliwa na standard charterd bank
Wawakilishi
kutoka standard chartered bank china, pamoja na afisa mtendaji mkuu wa
standard chartered bank Tanzania wakimsikiliza kwa makini Mh. Waziri
Mwijage.
Wakifuatilia
kwa makini hotuba ya mgeni rasmi,Bw Sanjay Rughani, Bw.Sun Chengfeng na
wawakilishi mbalimbali katika kitengo cha uchumi na biashara
wanaoiwakilisha China nchini Tanzania
Waalikwa
mbalimbali wakimsikiliza bi. Maggie Li alipokuwa akizungumza katika
hafla ya chakula cha jioni ambayo standard chartered iliwaandalia wateja
wake wenyeji kutoka nchini China
Afisa
mtendaji mkuu wa benki ya Standard Chartered Tanzania Bw. Sanjay
Rughani akizungumza na waandishi wa habari kuhusu OBOR initiative katika
mkutano uliofanyika katika hoteli ya Hyatt Regency
Afisa
mtendaji mkuu wa Standard Chartered Bank Tanzania Bw. Sanjay Rughani
(kushoto), Bi. Maggie Li Mkuu wa kitengo cha biashara na mauzo katika
benki ya Standard chartered China(katikati), pamoja na Bw. Cleophas
Ruhumbika ambae ni mwakilishi wa katibu mkuu wa viwanda na uwekezaji
(kulia). Wakizungumza na wanahabari katika mkutano uliofanyika jana.
Vijana
kutoka kundi la Tanzania House of Talent (THT) wakitoa burudani kwa
wageni na waalikwa wa standard chartered bank katika hafla iliyoandaliwa
katika hoteli ya Hyatt Regency.
Burudani kutoka kundi la THT ikiendelea
Comments
Post a Comment