KUMBUKUMBU YA KARUME LEO UNGUJA


Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Majaliwa Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Abdalla (Mabodi) alipowasili katika viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar katika Hitma ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Abeid Amani Karume iliyofanyika leo

Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Samia Suluhu Hassan akifuatana na Viongozi mbali mbali mara alipowasili katika viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar katika Hitma ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Abeid Amani Karume iliyofanyika leo
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Abdalla (Mabodi) pamoja na Viongozi wengine alipowasili katika viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar katika Hitma ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Abeid Amani Karume iliyofanyika leo
 Sheikh Sharif Abdulrahman Muhidin akisoma Quran ya Ufunguzi wa Hitma ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Abeid Amani Karume iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,ambapo Viongozi mbali mbali wa Kitaifa wamehudhuria katika Hitma hiyo



Viongozi mbali mbali akiwemo Rais Mstaafu wa Zanzibar Alhaj Dkt.Amani Abeid Karume (wa pili kushoto) wakiwa katika kisoma Hitma ya Rais wa kwanza wa Zanzibar Marehemu Abeid Amani Karume iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,ambapo Viongozi mbali mbali wa Kitaifa wamehudhuria katika Hitma hiyo


Viongozi mbali mbali na Wananchi waliohudhuria katika Hitma ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Abeid Amani Karume iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar, ambapo Viongozi wa Kitaifa wamehudhuria katika Hitma hiyo

Wake wa Viongozi wakuu wa Kitaifa wakiwa katika kisomo cha Hitma ya ​Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Abeid Amani Karume iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,ambapo Mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Mhe,Alhaj Dk.Ali Mohamned Shein




Rais Mstaafu wa Zanzibar, Amani Abeid Karume akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Abdalla Juma Saadala baada ya kuwasili Makao Makuu ya CCM Kisiwandui kwa ajili ya dua ya kumuombea marehemu Abeid Amani Karume, Rais wa kwanza wa Zanzibar.
 


 WABUNGE WA KUPAMBANA NA RUSHWA WAKUTANA DODOMA


 Spika wa Bunge, Job Ndugai, akizungumza wakati wa ufunguzi wa Semina ya wabunge iliyoandaliwa na Mtandao wa Wabunge  wa Kupambana na Rushwa Afrika (APNAC-TZ), mjini Dodoma jana. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Valentino Mlowola na Katibu wa mtandao huo, Daniel Mtuka

Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Valentino Mlowola, akizungumza katika semina ya wabunge iliyoandaliwa na Mtandao wa Wabunge  wa Kupambana na Rushwa Afrika (APNAC-TZ), mjini Dodoma leo

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA